MultiChoice yaja na ofa kabambe ya Funga Mwaka na DStv

Kama ilivyo ada, katika msimu huu wa sikukuu, Multichoice tanzania imetangaza neema kwa watanzania kwa kutoa ofa kabambe kwa wateja wake ambapo kuanzia leo...

Manjano Beauty Academy yatoa wahitimu 120 wa masuala ya urembo

Manjano Beauty Academy mnamo Novemba 18,2017,kimetunuku Astashahada (Certificates) na Stashahada (Diploma) kwa wahitimu 120 wa kwanza wa chuo hicho katika nyanja ya urembo na...

Ofisi ya Makamu wa Rais yakana kutoa mikopo kupitia Samia Habari...

Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakanusha taarifa inayosambaa katika Mitandao ya Kijamii kuhusu Taasisi ya Kiraia ijulikanayo kama Samia Habari...

Sauti za Busara gets a boost, thanks to Norwegian Embassy in...

Norway provides a shining example to the world by contributing to long-term development and a more equitable planet. As part of its mission in...

Wawekezaji wanaotaka kujenga viwanda vya dawa wazingatie vigezo- Serikali

Wawekezaji wa ndani wanao taka kujenga viwanda vya dawa wahimizwa kuhakikisha wanakidhi  vigezo vya uzalishaji wa dawa ili kuweza kuruhusiwa kufanya shughuli hiyo ya...