RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA AMESEMA KUA KENYA WATAKUA KATIKA MAOMBOLEZO YA SIKU 3 BAADA YA KIFO CHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Marehemu Rias Benjamin William mkapa Alikua na mchango mkubwa sana katika kupigiania uchanguzi wa Kenya mwaka 2008 hivyo basi wakenya wote watakua katika maombolezo ya siku tatu  Watu mbali mbali wametoa salamu za rambi rambi kwa Rais wa Tanzania kifo cha Rais mstaafu  Rais John Pombe Magufuli alitangaza usiku wa kuamkia leo Ijumaa kupitia runinga …