Mpango mzima wa Nyama Choma Festival ni Aprili 29 ndani ya Leaders Club

0
272

Unakosaje kwa mfano! Jumamosi ya Aprili 29.2017 ndani ya viwanja vya Leaders Club mpango mzima wa lile tamasha kubwa la Nyama choma linalofahamika kama The Nyama Choma Festival (TNCF) litafanyika huku mastaa na watu mbalimbali wakitarajiwa kujumuika pamoja kula na kufurahia Nyama safi na muziki mzuri kutoka kwa Wasanii nguli na mahiri na Madjs wakali.

Maelfu ya watu kwa pamoja wanakutana kwenye Nyama Choma, huku mlangoni ukilipia kiasi cha Shilingi 7000 tu!.

Pata tiketi yako ya #TNCFDar29thApril  #NyamaChomaFestival kwa sh 7000 tu!  Mwambie na yule!.

Mambo ya Nyama Choma

Mambo ya Nyama Choma

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here