Idris Sultan atoa zawadi za MO Spaghetti kwa wananchi wa Dar

0
137

Staa wa Tanzania ambaye ni Balozi wa MO Spaghetti ,Idris Sultan leo ameweza kujumuika na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na kugawa zawadi za tambi za MO Spaghetti kwa waliojitokeza kwa wingi kupata katika Supermarket  ya Mo Express iliyopo mtaa wa Mosque  na Indira Gandhi katikati ya Jiji.

Balozi huyo wa MO Spaghetti ameeleza kuwa, tambi hizo zinapatikana  kwenye maduka mbalimbali hivyo watu wajitokeze kwa wingi kuzipata hasa katika kipindi hiki cha kuelekea mfungo wa Mwezi mtukufu.

“Leo nimegawa MO Spaghetti nyingi sana kwa watu wote muliojitokeza hapa. Nadhani pia tutaendelea kugawa zaidi tambi hizi maeneo mbalimbali pia usikose kutembelea MO Express  zinapatikana kwa wingi”  ameeleza Idriis.

Balozi wa MO Spaghetti Idris Sultan akigawa zawadi hizo za MO Spaghetti kwa wananachi wa Dar

Mkurugenzi wa Mauzo wa MeTL Group, Hussein Dewji (kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa MO Spaghetti Idris Sultan akifuatiwa na msaidizi wa Mkurugenzi wa mauzo wa MeTL Grouop, Hamza, wakati wa zoezi la Balozi huyo kutoa zawadi za MO Spaghetti kwa wananachi wa Dar .

Balozi wa MO Spaghetti Idris Sultan akiipata picha na baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye Supermarket ya MO Express  waliofika kujipatia mahitaji mbalimbali panoja na zawadi hizo maalum za tambi za MO Spaghetti 

Mkurugenzi wa Mauzo wa MeTL Group, Hussein Dewji akiteta jambo na Balozi wa MO Spaghetti Idris Sultan  wakati wa zoezi la Balozi huyo kutoa zawadi za MO Spaghetti kwa wananachi wa Da

Ndani ya MO Express wateja wakichagua bidhaa mbalimbali

Baadhi ya bidhaa zinazopatikana ndani ya MO EXPRESS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here