Kumekucha Nyama Choma Festival ni kesho Aprili 29 ndani ya Leaders Club

0
266

Mapemaaa  Jumamosi ya kesho  Aprili 29.2017 ndani ya viwanja vya Leaders Club mpango mzima wa lile tamasha kubwa la Nyama choma linalofahamika kama The Nyama Choma Festival (TNCF) litafanyika huku mastaa na watu mbalimbali wakitarajiwa kujumuika pamoja kula na kufurahia Nyama safi na muziki mzuri kutoka kwa Wasanii nguli na mahiri na Madjs wakali.

Tiketi zinapatina kwa njia mbalimbali ikiwemo TiME Ticket ambao wanauza Online ama kupitia simu yako ya kiganjani. Ofa mbalimbali ikiwemo zile za wanafunzi ambao wanapata kwa Shilingi 5,000 pekee huku wale wengine wakizipata kwa shilingi 7,000 pekee.

 Tiketi Za Wanafunzi za 5000 Tzs UDSM-0717672227,  IFM- 0714531002, CBE-0716473749

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here