Rais Dkt Magufuli ahudhuria ibada ya Jumapili Makanisa mawili tofauti mjini Moshi

0
103

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  leo Aprili 30.2017 am amehudhuria ibada ya Jumapii katika makanisa mawili tofauti ya Mjini Moshi  ikiwemo Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi Mjini  pamoja na Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na waumini katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini baada ya  ibada ya Jumapili leo Aprili 30, 2017

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo, Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Muhagama, Askofu Mstaafu Evarist Kweka wakipata picha ya pamoja  baada ya  ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo  Aprili 30, 2017

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo na Askofu Mstaafu Evarist Kweka na kiongozi mwingine baada ya  ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo  Aprili 30, 2017. PICHA NA IKULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here