Rais Dkt. Magufuli arejea Jijini Dar, baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Kilimanjaro

0
118

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli amewasili mapema leo Mei 2.2017, Uwanja wa ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatU.

Wakati wa kuwasili uwanjani hapo, amepokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali ikiwemo wakuu wa Wilaya na Mkoa na maafisa wengine waandamizi wakiwemo wa Jeshi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiswasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2017 akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2017 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam na kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya mkoa huo Kamishna Simon Sirro baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2017 akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.

PICHA NA IKULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here