#BongoNewsTrending: Jakaya Kikwete style yapamba moto, DC Kasesela yumo

0
5263

BongoNewsTrending: Baada ya siku za kadhaa kusambaa kwa picha ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ‘JK’ akiwa amejipumzisha huku kila mmoja akiitafsiri anavyojua yeye, Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela naye aliweza kutumia styke kama hiyo ya JK  na kisha kutupia kwenye mtandao wake wa twitter.

BongoNewsTreding imeweza kushuhudia watu wengine wakiiga style hiyo  kisha kutupia mtandaoni, hata hivyo imeonekana wote waliojaribu wameshindwa kufanya kama alivyofanya JK,  hasa namna alivyoweka  miguu yake sehemu  ya vidole vya mguu wa kushoto viwili vikionekana,lakini wote wameshindwa kueza hilo tu licha ya mengine kupatia.

Nawe unaweza kujaribu sasa JK Style.

tazama hapa kuona JK style:

JK style

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here