Ajali ya School Bus Arusha: Majina ya waliopoteza maisha yapo hapa

0
326

Kutoka Karatu Lutheran Hospital  taarifa kamili ni: Waliofariki watoto wa kike 16,Waliofariki watoto wa kiume 17 na Walifariki watu wazima 4(pamoja na dereva). Kwa upande wa  Majeruhi watoto 4 na Majeruhi mtu mzima 1. Hii ni kwa mujibu wa Mwali  Yotham Dotto

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here