Ni Macron Urais Ufaransa, ashinda kwa asilmia 65 dhidi ya Le Pen aliyepata 34.9

0
179

Taifa la Ufaransa usiku wa leo Mei 8.2017, wameamua maamuzi magumu baada ya kumpigia kura za kishindo mgombe wa kiti cha Urais machachali na kijana mwenye umri mdogo wa miaka 39, Emmanuel Macron (Pichani juu)  ambaye alipata asilimia 65.1 ya kura zake dhidi ya mpinzani wake wa karibu Mwanamama Le Pen aliyepata ushindi wa asilimia 34.9.

Awali wananchi wa Taifa hilo walijitokez asubuhi na mapema ya Mei 7.2017 na kupiga kura katika duru ya pili na ya mwisho ya uchaguzi huo wa rais.

Rais huyo mteule Emmanuel Macron  mwenye mlengo wa msimamo wa wastani huku aliyekuwa akichuana nae kwa karibu Marine Le Pen a mbaye alikuwa mrengo wa kulia, wametokea katika vyama vikuu vya siasa vya nchi hiyo huku vyama vingine  vikuu  vya siasa, cha kisoshalisti, na cha Republicans cha kati-kulia, vilishindwa katika duru ya kwanza.

Katika upigaji wa kura, ulinzi  mkali, uliimalishwa na umeendelea kuimalisha  baada ya mashambulio ya kigaidi ya hivi karibuni nchini humo.

Tayari Rais wa Marekani Donald Trump, kupitia kurasa yake Twitter ameweza kumpongeza Macron kwa ushindi huo.

Wagombea hao

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here