Mtanzania anayeishi Marekani azindua Charles Golf Academy, asaidia vifaa vya michezo kwa watoto Lugalo Dar

0
99

Mtanzania Liban Newa mchezaji wa Golf kutoka Durham, North Carolina nchini Marekani, amekabidhi vifaa vya mchezo wa golf kwa watoto  wadogo wa mchezo huo  katika viwanja vya Lugalo jijini Dar ikiwa kama sehemu ya uzinduzi wa Charles Newa Golf Academy itakayo saidia kuendeleza vipaji vya watoto wanaopenda mchezo huo.

 Vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na fimbo, mipira, gloves vikiwemo vifaa vingine ambapo vimepokelewa na  na Japhet Masai timu kapteni wa Lugalo golf Club na mwalimu wa watoto hao.

Watoto wapenda mchezo huo waliojitokeza kwenye makabidhiano ya vifaa vya mchezo wa golf wakiwa katika picha ya pamoja.

Watoto wakipata mapochopocho mara baada ya makabidhiano hayo.

Liban Newa (kulia) akikabidhi moja ya vifaa vya mchezo wa golf katika viwanja vya Lugalo jijini Dar ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Charles Newa Golf Academy. Anayepokea msaada huo ni Juma Likuli ambaye ni mwalimu msaidizi wa watoto hao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here