Wadau wa Mazingira washiriki kilele cha siku ya Mazingiara Duniani kwa maandamano Dar

0
244

Wadau wa sekta ya Mazingira nchini wamejitokeza leo Jijini Dar es Salaam na kufanya maandamano maalum ya kilele cha siku ya Mazingiara Duniani ambayo Kitaifa hapa nchini yamefanyika Butiama, Mkoani Mara.

Wadau hao waliweza kupita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na na mabango yenye jumbe za utunzaji wa mazingira.

Picha za juu na chini Wadau wa sekta za Mazingira wakiwa katika maandamano ikiwa ni kuadhimisha kilele cha siku ya Mazingira Duniani. Leo Juni 5.2017 katika mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. 

( Picha na Benjamin Sawe-Maelezo)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here