Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete atembelea wananchi wake

0
175

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete,ametembelea Jimboni  kwake na kuwajulia hali wananchi mbalimbali ikiwemo Mzee Mkola wa kijiji cha Pongwe Mnazi Kata ya Kimange , Halmashauri hiyo ya Chalinze ambapo pia alipata wasahaa wa kukutana na vijana mbalimbali na kubadilishana nao mawazo ya kimaendeleo.

Mh. Ridhiwan amebainisha kuwa, akiwa kama kiongozi anawajibu mkubwa wa kuwa karibu na wananchi na kuwajulia hali na kutambua kero na changamoto zinazowakabiri.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiwa amekaa pamoja na Wazee wa Kijiji cha Pongwe, akiwemo Mzee Mkola 

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akinunua ‘kitoweo’ kwa mmoja wa wananchi wa jimboni kwake wakati alipokuwa katika kuwatembelea wananchi wake na kuwajulia hali

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akibadilishana mawazo na vijana wa jimboni kwake wakati alipowatembelea

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akibadilishana mawazo na vijana wa jimboni kwake wakati alipowatembelea

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here