News Alert: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amtumbua Mkurugenzi Mkuu EWURA usiku wa manane

0
366

Kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam usiku huu zinaeleza kuwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Bw. Felix Ngamlagosi.

Bw. Felix Ngamlagosi amesimamishwa kazi kuanzia leo tarehe 11 Juni, 2017. Ilieleza taarifa hiyo ya iliyotumwa na kusainiwa na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU usiku huu.

Taarifa zaidi tutaendelea kuwapatia kadri zitakapopatikana.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Bw. Felix Ngamlagosi aliyetumbuliwa usiku huu na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here