NIKOHUB yatoa fursa kwa fans wa Blogs kulipiwa futari mahala popote pale, Soma hapa

0
6012

Tukiwa kwenye msimu huu wa Ramadhan Nikohub tunaendelea kutoa elimu ya jinsi ya watu kuweza kuitumia ‘Nikohub’ na kufaidika. Baada ya kupokea ushirikiano wa Vyombo mbalimbali vya habari hasa Blogers, Radios nk.

Nikohub’ inatoa fursa ya kufuturisha mtu mmoja kutoka kwenye kila blog au website, kama wewe ni mmiliki wa Blog au Website unaweza chagua mtu mmoja ambaye ni best fan wa website yako leo, ili tuweze kumpatia hii ofa popote alipo anaweza kula. Nikohub inalipia.

Kutoa ni moyo na sio utajiri tukiwa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, Kampuni ya “Nikohub” imekuja na mfumo mpya wa neema yaani kufutulisha watu 100 kila siku bure, popote pale ulipo mkazi wa Dar es salaam hii ni fursa ya pekee!.

Ili upate futari ya bure kupitia ‘Nikohub’ ukiwa hapa Dar es salaam Ingia kwenye Pay Store katika simu yako Download “Nikohub user” kasha jisajili ili uweze kuonekana kwenye mfumo wetu mpya, ukimaliza ku-Download washa GPS kwenye simu yako ili uweze kuwaona wauzaji wa Chakula na Vinywaji wanao kuzunguka katika eneo unaloishi au ulipo kwa sasa watakao kuhudumia.

Ukifanikiwa ku- download ‘Nikohub’ piga simu au tuma SMS kwenye 0658161950 hiyo ndio Tiketi yako ya Futari kwa leo utaelekezwa eneo la kwenda kula asante.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here