WhatsappGroups Party kufanyika 30. Juni 2017 ndani High Spirit Lounge Dar

0
157

Ile Party iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa sasa imewadia, ni ndani ya  kiota cha kisasa na kijanja ndani ya High Spirit Lounge, Posta mpya Jijini Dar e s Salaam.  Mastaa na watu maarufu mbalimbali kujumuika pamoja na kufurahia.

Kwa mujibu wa waandaaji wa shoo hiyo, wameeleza kuwa, tiketi zimeanza kuuzwa  huku kiingilio kikiwa ni  VIP 20,000 kwa pekee. Kawaida  kiingilio Tsh. 10,000 huku kwa atakayenunua mapema kuanzia  sasa ni  TSH. 8,000 tu.

“WHATSAPP GROUPS PARTY, ni Party yenye heshima ambayo imepitishwa na kuthibitwa kuwa itafanyika 30.6.2017. pale High Spirit Lounge, Posta Mpya.  Kwa kiingilio cha VIP 20,000, kawaida 10,000  na anayenunua tiketi mapema kuanzia sasa ni 8,000.

Kwa manunuzi ya tiketi kwa sasa unaweza kuwasiliana  kupitia 0718-942338 au 0745717532” walieleza waandaaji hao wa #WhatsappGroupspartytz.

Ukumbi huo wa  High Spirit Lounge, Posta Mpya. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here