Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway ahudhuria Warsha ya Gesi iliyoandaliwa na Kampuni ya Statoil jijini Dar

0
80
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Statoil kwenye Hotel Hyatt Regency jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Borge Brende akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Statoil jijini Dar Es Salaam.
Meneja Mkazi wa Statoil Tanzania AS, Oystein Michelsen akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha lililoandaliwa na kampuni ya Statoil jijini Dar Es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Statoil Tanzania , Genevieve Kasanga akiongoza warsha ya GESI.
Picha juu na chini ni wadau mbalimbali waliohudhuria kwenye warsha.

Picha ya pamoja mara baada ya warsha.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Borge Brende akizungumza na wanahabari.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akibadilishana mawazo na wadau.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akizungumza na wanahabari.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here