Benki ya NIC yakabidhi misaada katika kituo cha watu wenye mahitaji maalumu Mburahati

0
145
Wafanyakazi wa Benki ya NIC wameweza kukabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinadamu katika kituo cha watu wenye mahitaji maalumu kilichopo Mburahati Jijini Dar Es Salaam.
 Mkurugenzi mkuu wa uendeshaji wa benki ya NIC, Bi Beatrice Kyanzi akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinadamu katika kituo kimoja cha watu wenye mahitaji maalumu kilichopo Mburahati Jijini Dar Es Salaam
Picha ya Pamoja.
Picha zote na Josephat Lukaza – Lukaza Blog

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here