Sabasaba 2017: Finca microfinance bank wang’ara katika kutumia teknolojia kuhudumia wateja

0
89

Finca Microfinance Bank ambao wapo kwenye mabanda  ya maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Julius Kambarage Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam wameng’ara katika matumizi ya kutumia teknolojia kuhudumia wateja wao mbalimbali hapa nchini, ikiwemo wale wanaoendelea kufika kwenye banda lao hilo ndani ya viwaja hivyo vya Sabasaba.

Wafanyakazi wa Finca Microfinance Bank wakitoa maelezo kwa mteja aliyefika katika banda la FINCA kufungua akaunti Mapema jana katika maonesho ya Sabasaba Jijini Dar es salaam.

 Wakala wa Finca Express Grace Kimaro akiwa anamsajili mteja mpya wa Finca kwa kutumia Tablet katika banda lao mapema jana katika maonesho ya sabasaba.Jijini Dar es salaam.

 Wakala wa Finca Express Grace Kimaro akiwa anamsajili mteja mpya wa Finca kwa kutumia Tablet katika banda lao mapema jana katika maonesho ya sabasaba.Jijini Dar es salaam.

Mfanyakazi wa Finca Microfinance Bank  Bi ;Irene Kijangwa akimpa maelezo mteja aliyetembelea banda lao kuhusu hatua jinsi ya kufungua akaunti za Finca .mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es salaam.

Mfanyakazi wa FINCA Microfinance Bank Beatrice kimaro akimpiga picha katika kumsajili mteja mpya wa FINCA kwa kutumia mfumo wa kisasa ambao hutumia Tablet mapema jana katika maonesho ya sabasaba, Jijini Dar es salaam.

Mfanyakazi wa Finca Microfinance Bank  Bi. Irene Kijangwa akimpa maelezo mteja aliyetembelea banda lao kuhusu hatua jinsi ya kufungua akaunti za Finca .mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here