Tajiri Duniani Bill Gates atua nchini atembelea Tanga kujifunza ugawaji dawa za matende na mabusha

0
679

Tajiri wa Dunia,  Bill Gates leo ametembelea kijiji cha Kicheba wilayani Muheza Mkoani Tanga kujifunza jinsi zoezi la ugawaji dawa za matende na mabusha zinavyofanyika nchini ikiwa ni jitihada za kutokomeza magonjwa yasilokuwa hayapewi kipaumbele nchini.

Tajiri wa Dunia,  Bill Gates akizungumza katika tukio hilo

Mbunge wa Muheza Balozi Rajab Adad akitoa shukrani kwa Bill Gates wakati wa mazungumzo na watendaji na viongozi wa Mkoa wa Tanga na wilaya ya Muheza

Tajiri wa Dunia,  Bill Gates akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa wa Wizara ya Afya katika mpango huo, Mkoani Tanga.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here