Serikali yalifungia gazeti la Mwanahalisi kwa miaka miwili

0
170

Serikali imesitisha uchapaji na usambazaji wa gazeti la Kila wiki la MWANAHALISI kwa kipindi cha miezi ishirini na mine (24) kuanzia leo Septemba 19,2017, kufuatia mfululizo wa gazeti hilo kukiuka maadili, misingi na sheria za taaluma ya uandishi wa habari, kuandika habari za uongo, uchochezi na kuhatarisha usalama wa Taifa. Zuio hilo pia linahusu toleo la mtandaoni la gazeti hilo.

Taarifa ya Mkurugenzi

Mkurugenzi, Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza katika tukio hilo mapema leo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here