TYCEN yaendesha mradi wa Sambaa Sanaa kwa vijana nchini

0
160

masuala ya Sanaa na Utamaduni limeweza kutoa mafunzo mbalimbali kwa vijana kupitia  mradi wa Sambaa Sanaa mradi ambao umejikita zaidi katika mfumo wa kutoa semina.

Katika mradi huo wa Sambaa Sanaa, vijana walipata wasaha wa kukaa kambini na kujengewa uwezo wa kuonesha vipaji vyao huku washiriki pia walipata nafasi ya kushiriki katika tamasha la Kimataifa la Sanaa Bagamoyo ( Bagamoyo International Festival of Art and Culture)mnamo Septemba 23, mwaka huu.

Kwa mujibu wa TYCEN, Mradi huo ulianzishwa February 2017, chini ya udhamini wa Ubalozi wa Royal Denish Embassy.

Mandolini Kahindi Ofisa wa Utamaduni kutoka Royal Denish Embassy (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa TYCEN wakati wa tamasha la Kimataifa la Sanaa Bagamoyo hivi karibuni

Baadhi ya Vijana wanaoshiriki mradi wa Sambaa Sanaa wakiwa katika picha ya pamoja 

Mwalimu wa Sanaa kutoka TYCEN, Bwana Chedieli akitoa mafunzo kwa wanafunzi wa chuo cha Sanaa Bagamoyo wakato wa tamasha la Sanaa Bagamoyo 2017.

Waigizaji kutoka Sambaa sanaa, katika igizo la Kifo Cha Mpanzi na ujio wa Nzige

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here