Wanahabari wa Tanzania watembelea kampuni ya Huwawei nchini China

0
321
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania, wametembelea Kiwanda cha Kampuni ya  Huwawei na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo.

 Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania, wakiwa ndani ya Kiwanda cha Kampuni ya  Huwawei walipotembelea Kiwanda hicho kuijionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo.

 Mmoja wa Wanahabari akikagua kifaa kwenye kiwanda hicho

 Wanahabari wakiwa katika kiwanda hicho.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here