Serikali yatangaza kamati ya Kitaifa ya kuandaa urithi wa Tanzania

0
92

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamisi Kigwangalla ameunda Kamati ya Kitaifa ya kuandaa mwezi maalum wa maadhimisho ya urithi wa Tanzania ambapo kamati hiyo itajumuisha viongozi mbalimbali waandamizi wakiwemo wakuu wa Mikoa, Mawaziri, Wakurugenzi na wakuu wengine wa Idara za Serikali na mashirika binafsi.

Zaidi soma hapa:

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here