Wema Sepetu,Jokate waula Utalii, wateuliwa Kamati ya Kitaifa kuandaa Urithi wa Tanzania

0
442

Waziri wa Maliasili na Utalii  Dk.Hamisi Kigwangalla   leo Desemba 21, 2017 ameteua majina mengine ya Kamati ya Kitaifa ya kuandaa mwezi maalum wa maadhimisho ya Urithi wa Tanzania.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here