Inganzo Ngari kutoka Rwanda wawasha moto Sauti za Busara 2018

0
424

Kundi la ngoma za Asili kutoka Nchini Rwanda, Inganzo Ngari usiku huu wa Februari 10,2018 wameweza kuwasha moto wa burudani katika jukwaa kubwa la Tamasha la Kimataifa la Muziki Sauti za Busara 2018, linaloendelea katika viunga Mji Mkongwe ndani ya Ngome Kongwe,visiwani hapa.

Inganzo Ngari wamepanda jukwaani majira ya saa moja usiku na kuonesha umahiri wao wa ngoma za kutoka Rwanda huku upande wa Wanaume na Wanawake wakionesha ujuzi wao katika jukwaa hilo.

Kwa upande wake mmoja wa kiongozi wa kundi hilo Nahimana Serge baada ya shoo yao hiyo, ameuambia mtandao huu kuwa, wamepongeza mashabiki wa Sauti za Busara 2018 waliojitokeza kwa wingi na kuwakubali kile walichokionesha jukwaani.

“Hii ni kwa mara ya kwanza kushiriki tamasha kama ili hap Tanzania na Sauti za Busara. tunashukuru Sana kwani tumeweza kuonesha uwezo wetu na watu wameuona.” alieleza Nahimana Serge.

Kwa upande wake mwanadada wa kundi hilo Umuhoza Amissat amesema kuwa, tamasha hilo limewapa ujuzi mkubwa hasa katika ushiriki wao na wanaahidi wataendelea kuwa washiriki wazuri kipindi kijacho.

Kundi limeweza kushiriki maonesho ya muziki mbalimbali ndani ya Rwanda na nje ya Rwanda huku pia wakiwa na nyimbo kama Akanyoni-Kanyonyomba, Cyabusiku,Ibaza, Indamutsa, Umuhororoanyoni-Kanyonyomba na zingine nyingi.

NA ANDREW CHALE-BONGONEWS,ZANZIBAR

Wasanii wa kiume wa kundi la ngoma za Asili kutoka Nchini Rwanda la Inganzo Ngari wakionesha umahiri wao jukwaani usiku wa Februari 10,2018

Wasanii wa kike wa kundi la ngoma za Asili kutoka Nchini Rwanda la Inganzo Ngari wakionesha umahiri wao jukwaani usiku wa Februari 10,2018

PICHA ZOTE NA ANDREW CHALE-BONGONEWS,ZANZIBAR

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here