Itazame Simulizi mpya iliyopewa jina la ‘Kinyago’

0
131

div class=”separator” style=”clear: both; text-align: center;”>

Kwa  nafasi ya upendeleo New Talents tunachukua fursa hii kukupa nafasi ya kwanza kuitazama hii video ya Simulizi mpya iliyo beba ujumbe mkubwa unaotakiwa kuwafikia Wanadamu, kwani Dunia inamambo mengi  ndio maana wengi wanajikatia tamaa kwa kuikosa thamani yao hapa Duniani.

A
mini na kwambia Dunia bila changamoto haiwezi kunoga, ndio maana kila kukicha tumekuwa tukikutana na changamoto za hapa na pale kama vifo,ajali na manyanyaso.

New Talents Tanzania Crew tunakuletea Simulizi ambayo imepewa jina la ‘KINYAGO’ Simulizi hii imegusa pande nyingi  katika maisha ya wanadamu, imeandikwa na Mrembo Rose Peter Maarufu kwa jina la ‘PUKUU’ chini ya usimamizi wa Director Mr.Super News  tunaomba Support yako katika kuufikisha ujumbe uliyomo ndani ya Simulizi hii kwa jamii Asante.


Attachments area
Preview YouTube video Itazame Simulizi mpya iliyopewa jina la ‘Kinyago’

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here