VIFO VYA ROMBO HAVIHUSIANI NA KIMETA
Kaimu Mganga Mkuu wa Mifugo Tanzania Dkt. Benezeth Lutege Serikali imesema vifo vya watu wawili vilivyotokea kwa ulaji wa nyama kwenye kijiji cha Msaranga kilichoko Kata ya Kisale, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mei 4 mwaka huu havihusiani kabisa na ugonjwa wa kimeta. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo (25.05.2023) na Wizara ya Mifugo […]
Read More