MAKAMU WA RAIS, DKT. PHILIP MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA MWAKA WA BENKI YA AFDB NCHINI MISRI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Saini katika kitabu maalum maarufu kama Golden Book mara baada ya kuwasili Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo tarehe Mei 2023. (wa pili kutoka […]
Read More