RAIS SAMIA ATEUA MAJAJI WAPYA SITA MAHAKAMA YA RUFANI

RAIS SAMIA ATEUA MAJAJI WAPYA SITA MAHAKAMA YA RUFANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameteua Majaji sita wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bi Zuhura Yunus leo tarehe 18 Mei, 2023 imesema uteuzi huo umeanza tangu tarehe 28 Aprili, 2023 na wateule hao […]

Read More
 DKT. MPANGO AFUNGUA BARABARA YA LOLIONDO-MTO WA MBU

DKT. MPANGO AFUNGUA BARABARA YA LOLIONDO-MTO WA MBU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria uzinduzi wa barabara ya Wasso – Sale yenye kilometa 49 wakati akiwa ziarani katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha Mei 17, 2023. Makamu wa Rais Dkt. Phillip Isdor Mpango amefungua Barabara ya Loliondo–Mto Wa Mbu (km 217) Sehemu ya […]

Read More
 WAAJIRI WATAKIWA KUWARUHUSU MAKATIBU MUHSUSI, WATUNZA KUMBUKUMBU KUSHIRIKI MKUTANO UTAKAOWAJENGEA UWEZO

WAAJIRI WATAKIWA KUWARUHUSU MAKATIBU MUHSUSI, WATUNZA KUMBUKUMBU KUSHIRIKI MKUTANO UTAKAOWAJENGEA UWEZO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Waandishi wa Habari na Watendaji wa ofisi yake (hawapo pichani) jijini Dodoma kuhusu mkutano wa kitaaluma wa Makatibu Mahsusi na Watunza Kumbukumbu utakaofanyika Zanzibar.. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma naUtawala Bora, Mhe. George Simbachawene […]

Read More
 WAZIRI DKT MABULA ATAKA MADALALI WENYE WELEDI NA STAHA

WAZIRI DKT MABULA ATAKA MADALALI WENYE WELEDI NA STAHA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Uteuzi na Nidhamu ya Madalali na Wasambaza Nyaraka wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya ilipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma tarehe 16 Mei 2023. Kulia ni Katibu Mkuu Eng. Anthony Sanga. Waziri wa Ardhi Nyumba na […]

Read More
 RAIS DKT SAMIA: TUYAENZI MEMA YA MAREHEMU BERNARD MEMBE

RAIS DKT SAMIA: TUYAENZI MEMA YA MAREHEMU BERNARD MEMBE

*Asema atakumbukwa na Jumuiya za Kimataifa kwa utumishi wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba watanzania kumuombea na kuenzi yote mazuri aliyowahi kufanya marehemu Bernard Kamilius Membe enzi za uhai wake. Amesema hayo leo Jumanne (Mei 16, 2023) alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia katika ibada ya mazishi ya Marehemu Bernard Membe […]

Read More
 BALOZI FATMA RAJAB APOKEA ZAWADI YA TENDE KUTOKA SAUDI ARABIA

BALOZI FATMA RAJAB APOKEA ZAWADI YA TENDE KUTOKA SAUDI ARABIA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab akipokea zawadi ya tende kutoka kwa wawakilishi wa Kituo cha Hisani cha Mfalme wa Saudi Arabia. Zawadi hiyo ya tende imetolewa na Serikali ya Saudi Arabia kupitia Kituo hicho na hafla ya makabidhiano imefanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam. Naibu […]

Read More
 SERIKALI YAANDAA MFUMO WA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA

SERIKALI YAANDAA MFUMO WA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema akifafanua jambo katika kikaokazi cha kuainisha mahitaji ya mfumo wa kielektroniki wa usajili na usimamizi wa Mifuko na Programu za uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kilichofanyika jijini Dodoma. Serikali inaada mfumo wa kielektroniki wa Huduma Ndogo za Fedha ili kuboresha ufanisi wa usimamizi wa Mifuko na Programu za […]

Read More
 RAIS SAMIA AFANYA UHAMISHO MKUBWA WA WAKUU WA MIKOA

RAIS SAMIA AFANYA UHAMISHO MKUBWA WA WAKUU WA MIKOA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametekeleza uamuzi wa kufanya uhamisho mkubwa wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa katika nchi hiyo. Uhamisho huo umelenga kuleta mabadiliko na kuimarisha utendaji katika ngazi za uongozi wa mikoa. Katika uhamisho huo, Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kabla […]

Read More