IGP WAMBURA – MAOFISA NA ASKARI KUPATIWA MAFUNZO MAALUM

IGP WAMBURA – MAOFISA NA ASKARI KUPATIWA MAFUNZO MAALUM

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Camillus M.Wambura IGP akiwa na ujumbe wa Maofisa watano kutoka Jeshi la Polisi Tanzania leo Mei 15,2023 wameanza rasmi ziara ya kikazi Nchini Ireland ambapo ametembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Ireland “An Garda Síochána” na kukutana na Deputy  Commissioner Anne Marie McMahon.Wameweza kubadilishana uzoefu wa namna ya […]

Read More
 WAZIRI MKUU: AKINABABA MUWASAIDIE WAKE ZENU KULEA WATOTO

WAZIRI MKUU: AKINABABA MUWASAIDIE WAKE ZENU KULEA WATOTO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka jamii ishirikiane na akinamama katika malezi ili kujenga jamii yenye maadili ya kitanzania Ametoa wito huo jana usiku (Jumapili, Mei 14, 2023) wakati akizungumza na washiriki wa hafla ya Mtoko wa Mama kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani. Hafla […]

Read More
 DK.MWINYI: AKAGUA MIRADI YA CCM ILIYOPO MKOA WA MJINI

DK.MWINYI: AKAGUA MIRADI YA CCM ILIYOPO MKOA WA MJINI

Rais Wazanzibar Dk Hussein Mwinyi amesema ipo haja ya watendaji kuzingatia ndani ya chama kuzingatia vijana wa UVCCM wanaojitolea zinapotokea fursa za ajira. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo jana Gymkana wakati akihitimisha ziara yake ya kutembelea mali za chama hicho na Jumuiya zake katika Mkoa wa Mjini ambapo alisema anajua kilio cha vijana wengi kukosa […]

Read More
 SERIKALI YACHANGIA MASHABIKI KUISHUHUDIA YANGA AFRIKA KUSINI

SERIKALI YACHANGIA MASHABIKI KUISHUHUDIA YANGA AFRIKA KUSINI

WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaidia kugharamia usafiri wa mashabiki 55 wa timu ya Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) huku Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma akitarajia kuongoza msafara huo. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Bw. Saidi Yakubu […]

Read More
 RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA MINARA 758

RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA MINARA 758

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoawito kwa Makampuni ya simu kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowezeshakila Mtanzania kupata huduma ya mawasiliano popote alipo nchini. Rais Samia ametoa wito huo leo wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji hudumaza mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na […]

Read More