WIZARA YA AFYA YAKAMILISHA UJENZI HUDUMA ZA DHARURA

WIZARA YA AFYA YAKAMILISHA UJENZI HUDUMA ZA DHARURA

Serikali imefanya mapinduzi makubwa  katika sekta ya afya kwa kuweka mfumo madhubuti wa huduma za dharura na ajali kuanzia ngazi ya Taifa  hadi wilaya ambapo matokeo ya uwekezaji huo  ni kupunguza vifo kwa 40% ndani ya hospitali na kuokoa maisha ya wananchi wanaohitaji huduma za dharura nchini. Akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/2024 […]

Read More
 WAFUGAJI WANAOTOROSHA MIFUGO NJE YA NCHI WAONYWA

WAFUGAJI WANAOTOROSHA MIFUGO NJE YA NCHI WAONYWA

Wafugaji wanaotorosha mifugo yao kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu uliowekwa naSerikali wametakiwa kuacha vitendo hivyo kwani hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Wizi wa mifugo Nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP SimonPasua ameyasema hayo leo wakati alipotembelea mnada wa Themi maarufu ‘‘Lokii’’ uliopowilayani Arumeru kwa lengo la kutoa elimu […]

Read More
 RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi (Portfolio Investment AdvisoryBoard). Aidha, Mheshimiwa Rais amewateua Wajumbe wa Bodi hiyo kamaituatavyo:- Uteuzi huu umeanza tarehe […]

Read More
 JENGO LA YANGA KUKARABATIWA

JENGO LA YANGA KUKARABATIWA

Mkurugenzi wa Wanachama wa timu hiyo Haji Mfikirwa anabainisha kuwa Klabu ya Yanga Sc imeingia makubaliano ya ushirika na kampuni ya rangi ya Robbialac kwaajili ya ukarabati wa jengo lao la Makao Makuu yaliyopo mitaa ya Twiga na Jangwani Dar es Salaam.

Read More
 CCM, JUMIKITA USO KWA USO

CCM, JUMIKITA USO KWA USO

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Sophia Edward Mjema akizungumza na Jukwaa la Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) pamoja na vyombo vingine kama Magazeti, Televisheni na Redio ikiwa ni katika kuhakikisha mahusiano baina ya Chama Cha Mapinduzi na Wanahabari yanazidi kuwa bora. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam Mei 11, […]

Read More
 SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU KWA MAJERUHI NA MAZISHI YA WANAFUNZI WA AJALI – BAHI

SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU KWA MAJERUHI NA MAZISHI YA WANAFUNZI WA AJALI – BAHI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema Serikali itagharamia mazishi ya Wanafunzi wawili (2) wa shule ya sekondari  Mpalanga Wilayani Bahi waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea jana majira ya saa 5:00 asubuhi katika Kijiji cha Chidilo  Wilayani humo. Aidha, Mhe. Senyamule ameahidi kuwa, Serikali itagharamia matibabu ya wanafunzi wote majeruhi31 walioumia katika ajali hiyo ambao wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Ajali hiyo imehusisha gari yenye […]

Read More
 HISTORIA YA BENARD MEMBE

HISTORIA YA BENARD MEMBE

Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony Ntachile na Mama Cecilia John Membe. Bernard Membe ni Mmwera, na kama ilivyo desturi ya Wamwera, watoto hutumia jina la ukoo wa Mama. Hivyo […]

Read More