DKT YONAZI: JAMII IENDELEE KUJIANDAA KUJIKINGA NA MAAFA

DKT YONAZI: JAMII IENDELEE KUJIANDAA KUJIKINGA NA MAAFA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akizindua Jukwaa Shirikishi la Mawasiliano ya Kidijitali la Afya Moja na  namba ya dharura ya kupokea  taarifa za maafa Juni 30, 2023 Jijini Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameitaka jamii […]

Read More
 UPIMAJI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO KATIKA MAONESHO YA SABASABA

UPIMAJI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO KATIKA MAONESHO YA SABASABA

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha wananchi kwamba  inashiriki maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayofanyika katika Uwanja wa Maonyesho wa Biashara wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliopo barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 28/06/2023 hadi tarehe 13/07/2023. Katika maonesho haya tutafanya upimaji na kutoa ushauri […]

Read More
 WARAIBU KUNUFAIKA NA MIKOPO 10%

WARAIBU KUNUFAIKA NA MIKOPO 10%

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imefikia uamuzi wake wa kuongeza kundi la waraibu wa dawa za kulevya katika wanufaika wa mikopo ya fedha zitokanazo na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri nchini ili waweze kufanya shughuli za kujitegemea. Hayo yamesemwa hivi […]

Read More
 GWAJIMA AIPONGEZA SERIKALI KUPELEKA MWENDOKASI KAWE

GWAJIMA AIPONGEZA SERIKALI KUPELEKA MWENDOKASI KAWE

NA GEORGE ALPHONCE – MWANA HABARI Mbunge wa Kawe, Dar es Salaam Askofu Josephat Gwajima ameipongeza Serikali kwa kupelekea huduma ya usafi wa haraka (Mwendokasi) katika jimbo lake ambapo utiaji saidi wa ujenzi wa barabara zake umefanyika leo Juni 30, 2023 na kutaja awamu ya kwanza ya mradi huo itakuwa ni ujenzi wa kipande cha […]

Read More
 HOTUBA YA NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI MHA. GODFREY  KASEKENYA WAKATI WA UTIAJI SAINI MIKATABA MINNE YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA  MABASI YA HARAKA (BRT) DAR ES SALAAM

HOTUBA YA NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI MHA. GODFREY KASEKENYA WAKATI WA UTIAJI SAINI MIKATABA MINNE YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MABASI YA HARAKA (BRT) DAR ES SALAAM

Ndugu Viongozi na Wageni Waalikwa, Ndugu Viongozi na Wageni Waalikwa, Ndugu Viongozi na Wageni Waalikwa, Ndugu Viongozi na Wageni Waalikwa, Ndugu Viongozi na Wageni Waalikwa, Ndugu Viongozi na Wageni Waalikwa, Ndugu Viongozi na Wageni Waalikwa, Ndugu Viongozi na Wageni Waalikwa, ASANTENI KWA KUNISIKILIZA.

Read More
 MJADALA WA BANDARI USITUGAWE WATANZANIA

MJADALA WA BANDARI USITUGAWE WATANZANIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu. “Mjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika. Tusitumie nafasi hiyo kutugawa kiitikadi, kidini au kisiasa. Sisi ni wamoja na jambo letu ni moja. Serikali […]

Read More
 BAKWATA IMEWAUNGANISHA WAISLAMU WOTE

BAKWATA IMEWAUNGANISHA WAISLAMU WOTE

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Alhaj Nuhu Jabir Mruma amesema, kwa takribani miaka nane ya uongozi wa Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally, BAKWATA imewaunganisha Waislamu wote nchini na kuwa kitu kimoja. Alhaj Mruma ameyasema hayo wakati akihutubia Baraza la Eid Al Adha lililofanyika kitaifa katika Msikiti wa Mohammed […]

Read More
 SNAPCHAT WAINGIZA BILIONI 38 KWA MWEZI

SNAPCHAT WAINGIZA BILIONI 38 KWA MWEZI

Kampuni ya mtandao wa kijamii SNAP INC inayomiliki application ya SNAPCHAT wametoa taariifa na kusema idadi ya wanaotumia huduma ya kulipia kwenye mtandao huo inayoitwa SNAPCHAT PLUS imefikia Millioni 4 tangu ilipozinduliwa June mwaka jana. Unaweza kujiuliza hii SnapchatPlus ni nini? sawa, ilivyo ni kama Snapchat ya kawaida lakini utofauti wake ni kwamba mtumiaji wake […]

Read More