MEJA JENERALI  MBUGE: TUIMARISHE USHIRIKIANO KUKABILI MAJANGA

MEJA JENERALI  MBUGE: TUIMARISHE USHIRIKIANO KUKABILI MAJANGA

Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Meja  Jenerali  Charles Mbuge  akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Watalam waliokutana kwa lengo la Kuhuisha na Kutafsiri Mwongozo wa Utekelezaji wa Dhana ya Afya Moja mkoani Singida. Serikali  kupitia  Ofisi  ya Waziri Mkuu imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano na sekta mbalimbali katika kukabiliana na […]

Read More
 YANGA YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS

YANGA YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma (kulia)akimkabidhi Nahodha wa timu ya Yanga Bakari Mwamnyeto (kushoto) Kombe laShirikisho la Azam Sports Juni 12, 2023 katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga marabaada ya kuifunga timu ya Azam kwa kwa 1-0. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu Wizaraya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi […]

Read More
 SERIKALI KUSAINI MKATABA WA UKAGUZI WA MIAMALA YA KIMATAIFA

SERIKALI KUSAINI MKATABA WA UKAGUZI WA MIAMALA YA KIMATAIFA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akijibu swali bungeni, jijini Dodoma. Serikali inatarajia kusaini mkataba ujulikanao kama (Multilateral Convention on Mutual Administrative Assistance in Tax Matters) ambao utaiwezesha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupata taarifa mbalimbali kutoka nchi 146 duniani ambazo zitasaidia katika kuongeza ufanisi wa ukaguzi wa miamala ya kimataifa. Hayo […]

Read More
 NAIBU WAZIRI MWINJUMA ATEMBELEA KITUO CHA MICHEZO TANGA, AKUTANA NA MAKOCHA WALIOPO MAFUNZONI

NAIBU WAZIRI MWINJUMA ATEMBELEA KITUO CHA MICHEZO TANGA, AKUTANA NA MAKOCHA WALIOPO MAFUNZONI

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjumaamewatembelea Makocha ambao wapo kwenye mafunzo ya ngazi ya Diploma yaUalimu wa Michezo Daraja A inayotambuliwa na Shirikisho la Mpira Afrika (CAF)yanayoendelea katika Kituo cha Michezo Tanga kinachosimamiwa na Shirikisho laMpira Tanzania (TFF). Naibu Waziri Mwinjuma amefanya ziara hiyo Juni 12, 2023 jijini Tanga na kukutana […]

Read More
 DKT. TAX AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI MKUU, WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA ITALIA JIJINI ROMA

DKT. TAX AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI MKUU, WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA ITALIA JIJINI ROMA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akisalimiana na mwenyeji wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Antonio Tajani walipokutana kwa mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwake jijini Roma, Italia tarehe 9 Juni, 2023. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika […]

Read More
 GLOBAL FUND KUENDELEA KUIUNGA MKONO TANZANIA

GLOBAL FUND KUENDELEA KUIUNGA MKONO TANZANIA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dkt. John Mboya akiongoza kikao cha pamoja na ugeni kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Sekretarieti ya Kamati ya Kitaifa inayoratibu na kusimamia fedha kutoka Mfuko wa Dunia (Global Fund) kabla ya kuanza ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na mfuko wa Dunia katika Mkoa huo. SERIKALI imepongeza jitihada […]

Read More
 MSIGWA: SERIKALI YA AWAMU YA SITA INA NIA NJEMA NA BANDARI ZETU

MSIGWA: SERIKALI YA AWAMU YA SITA INA NIA NJEMA NA BANDARI ZETU

Sakata la ubinafsishaji wa Bandari ya Dar es Salaam limeendelea kutolewa ufafanuzi na Serikali kwa kuwatoa hofu Watanzania kwamba wasiwe na shaka kwani kila kitu kitakwenda sawa kwani utaangalia maslahi mapana ya nchi tofauti na baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa ambao wanadaiwa kupotosha jamii kwamba mkataba huo umeshasainiwa.Akizungumza na Jukwaa la Wanahabari wa Mitandao ya […]

Read More