UCHUNGUZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA: KIFO CHA MWANAFUNZI WA UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DKT. FESTO DUGANGE

UCHUNGUZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA: KIFO CHA MWANAFUNZI WA UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DKT. FESTO DUGANGE

Tarehe 10 Mei, 2023, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) iliyokuwa na nia ya kufanya uchunguzi juu ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ilitoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari. Uchunguzi huo ulifanywa kwa mujibu wa Sheria ya THBUB, Sura ya 391, ambayo […]

Read More
 TANZANIA NA JAPAN KUSHIRIKIANA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI

TANZANIA NA JAPAN KUSHIRIKIANA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (kulia)akisalimiana na Mtaalamu wa michezo kutoka Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA)Dkt. Shiraishi Tomoya (kushoto) Juni 01, 2023 jijini Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesemaWizara hiyo itaendelea kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA) katikasekta ya […]

Read More
 BANDARI MWANZA KUSINI KUFANYIWA MABORESHO YA NGUVU

BANDARI MWANZA KUSINI KUFANYIWA MABORESHO YA NGUVU

Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Ferdinand Nyathi akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Ferdinand Nyathi amesema kuwa, baada ya maboresho ya baadhi ya bandari za ukanda huo, kinachofuata sasa ni maboresho ya Bandari ya Mwanza Kusini.Akizungumza na Waandishi wa Habari katika bandari hiyo Mei 31, 2023, Meneja […]

Read More
 DAKTARI WA UPASUAJI WA MOYO KUTOKA ZAMBIA APATA MAFUNZO JKCI, KUIMARISHA HUDUMA ZA UPASUAJI WA MOYO

DAKTARI WA UPASUAJI WA MOYO KUTOKA ZAMBIA APATA MAFUNZO JKCI, KUIMARISHA HUDUMA ZA UPASUAJI WA MOYO

Daktari wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Taifa ya Moyo ya Zambia amewasili katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) nchini Tanzania kwa mafunzo ya kuongeza ujuzi wake. JKCI inajiandaa kuanza kutoa huduma za upasuaji wa moyo hivi karibuni na imeweka mkakati wa utekelezaji. Daktari huyo amekuja kujifunza jinsi ya kuanzisha huduma ya upasuaji […]

Read More
 SERIKALI YA TANZANIA NA JAPAN (JICA) KUSHIRIKIANA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI

SERIKALI YA TANZANIA NA JAPAN (JICA) KUSHIRIKIANA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Wizara hiyo itaendelea kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA)katika sekta ya michezo nchini ili kuendelea kutoa ajira kwa watu wengi zaidi hatua inayosaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.  Bw. Yakubu amesema katika kikao chake na Mtaalamu wa michezo kutoka Shirika la Maendeleo ya […]

Read More