WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA WATENDAJI WA HALMASHAURI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Mawaziri na Wabunge baada ya kutoa hoja ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge la 12 mpaka Agosti 29, mwaka huu. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zote nchini zihakikishe maeneo yote yanayotwaliwa kutoka kwa wananchi yanalipiwa fidia kwa wakati ili kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza siku za usoni. Amesema […]
Read MoreKUBENEA AIPONGEZA SERIKALI KURUHUSU GAZETI LA MWANAHALISI KURUDI MTAANI
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya HaliHalisi Publishers linalochapisha gazeti la MwanaHalisi, Saed Kubenea amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kulifungulia gazeti hilo pamoja na magazeti mengine ambayo yalikuwa yanefungwa na Serikali ya mtangulizi wake. Akizungumza leo Juni 28,2023 Jijini Dar es Salaam, ameiomba Serikali na Mamlaka zake endapo litaona gazeti hilo limeandika […]
Read MoreTAASISI UHISANI ZAOMBWA KUONGEZA NGUVU UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA JAMII
Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman akiwa zawadi maalum leo kutoka Mtandao wa Uhisani Afrika Mashariki (EAPN) wakati wa tukio la ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Uhisani Afrika Mashariki (EAPC), ambao umeratibiwa na EAPN kwa kushirikiana na Legal Services Facility (LSF) pamoja na wanachama wengine. Wito huo umetolewa […]
Read MoreDKT. MSONDE ASISITIZA WALIMU KUPEWA HUDUMA BORA
Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Charles Msonde akikagua moja ya miundombinu ya elimu inayojengwa katika Halmashuri ya Wilaya ya Uyui akiwa katika ziara yake ya kikazi wilayani humo. Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali zaMitaa Dkt. Charles Msonde amewataka […]
Read MoreMAJENGO MAPYA YA WIZARA KUANZA KUTUMIKA JANUARI 2024
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Takwimu zinaeleza kuwa miji inakadiriwa kuzalisha asilimia 80 ya ukuaji wote wa uchumi. Hivyo hakuna shaka kuwa Mji wa Serikali nchini Tanzania ambao upo katika Kata ya Ihumwa kilomita 17 kutoka katikati ya mji wa Dodoma wenye ukubwa wa ekari 1,542.88 uliogawanyika katika maeneo tofauti ya […]
Read MoreHUDUMA KUSAFISHA DAMU YAENDELEA KUBORESHWA HOSPITAL MLOGANZILA
Kutokana na maboresho ya huduma pamoja na huduma bora kwa wateja katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila, idadi ya wagonjwa wanaofanyiwa huduma za kuchuja damu imeongezeka kutoka wagonjwa 91 kwa kipindi cha Januari-Machi 2022 na kufikia wagonjwa 157 kwa kipindi kama hicho mwaka 2023 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 72. Aidha jumla […]
Read MoreCHONGOLO AHUTUBIA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UMOJA WA VIJANA WA CCM TAIFA (UVCCM)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) katika kikao cha kawaida kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (White House), CCM Makao Makuu Dodoma. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo amewataka Umoja […]
Read MoreBENKI YA AfDB YAONESHA NIA KUONGEZA NGUVU UTEKELEZAJI WA MRADI WA SGR
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kushoto), akizungumza jambo wakati wa mkutano na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika anayeshughulikia Sekta ya Kilimo na Maendeleo ya kibinadamu na kijamii, Bi. Beth Dunford, jijini Dodoma, mkutano huo umewashirikisha pia Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) na Waziri […]
Read MoreBARAZA LA MICHEZO UINGEREZA LAVUTIWA NA MANDELEO YA MICHEZO NCHINI
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu akiwa katika picha na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Uingereza Bi. Katherine Grainger baada ya kukutana na kufanya mazungumzo ambapo amesema wamevutiwa na maendeleo ya michezo nchini. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana nakufanya mazungumzo na Mwenyekiti […]
Read More