WAKUU WA WILAYA LINDI MTWARA WAZITAKA TAASISI KULIPA MADENI WANAYODAIWA NA TEMESA
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga wa pili kulia akipewamaelekezo kuhusu vitendea kazi na fundi kutoka Wakala wa Ufundi naUmeme Tanzania (TEMESA) Mkoa wa Lindi mara baada ya kumalizakuzungumza na wadau wanaotumia huduma za Wakala Mkoani humokatika kikao kilichofanyika katika ofisi za Mkuu wa Mkoa. Wakuu wa Wilaya za Lindi na Mtwara wameziagiza Taasisi […]
Read More