JAMII YAHIMIZWA KUCHANGIA DAMU

JAMII YAHIMIZWA KUCHANGIA DAMU

Mwenyekiti wa chama cha wachangia damu kwa hiari Tanzania DominickMkane akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Moyo JakayaKikwete (JKCI) alipotembelea Taasisi hiyo jana kuangalia uhitaji wa damu uliopo. Wadau wa afya nchini wameitaka jamii kuona umuhimu wakuchangia damu ili kuwezesha huduma za matibabu ikiwemo upasuaji wamoyo kufanyika kwani changamoto ya upatikanaji wa damu imekuwaikipelekea […]

Read More
 SERIKALI KUIMARISHA MIKAKATI KUKABILI MAAFA

SERIKALI KUIMARISHA MIKAKATI KUKABILI MAAFA

Picha ya pamoja wakati wa kikao kazi cha wataalam waliokutana kwa lengo la kufanya Tathimini ya uwezo wa Kukabiliana na Maafa kilichofanyika Jijini Dodoma. SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imesema inaendelea kuboresha mikakati ya kukabiliana na maafa ili kuhakikisha wananchi wanaishi katika hali ya usalama. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi […]

Read More
 TANZANIA KUFUNGUA RASMI OFISI ZA UBALOZI INDONESIA

TANZANIA KUFUNGUA RASMI OFISI ZA UBALOZI INDONESIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewasili Jakarta nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya kikazi, ikiwa ni pamoja na kufungua rasmi Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo hapo Tarehe 22 Juni, 2023. Mhe. Dkt. Tax baada ya kuwasili Jakarta amepokelewa […]

Read More
 DC MOYO AONDOA SINTOFAHAMU KATIKA MLIMA CHILALO

DC MOYO AONDOA SINTOFAHAMU KATIKA MLIMA CHILALO

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo akiongea na wananchi wa Kijiji cha Mbute juu ya sintofahamu ya uchimbaji wa madini katika mlima Chilalo Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amefanikiwa kuondoka sintofahamu kwa wananchi wa Kijiji cha Mbute iliyokuwa imetanda juu ya uchimbaji wa madini ya Graphite  katika mlima ChilaloAkizungumza wakati […]

Read More
 KATIBU MKUU DKT. YONAZI ATETA NA MAAFISA HABARI

KATIBU MKUU DKT. YONAZI ATETA NA MAAFISA HABARI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Dkt Jim Yonazi akizungumza na Maafisa Habari  wa Wizara pamoja na Taasisi kutoka  Zanzibar. KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amewataka Maafisa habari Serikalini kuendelea kuwa wabunifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya […]

Read More