WAKUMBUSHENI WAUMINI KUSIMAMIA HAKI NA KUDUMISHA AMANI – DKT MABULA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Makambi ya Kanisa la Waadventista Sabato Mtaa wa Magomeni 2023 uliofanyika Manispaa ya Dar es Salaam tarehe 18 Juni 2023. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka viongozi wa dini nchini kuwakumbusha […]
Read More