JAJI MKUU MSTAAFU OTHMAN AWATAKA MAJAJI WAPYA WA RUFANI KUKIDHI MATARAJIO YA WANANCHI

JAJI MKUU MSTAAFU OTHMAN AWATAKA MAJAJI WAPYA WA RUFANI KUKIDHI MATARAJIO YA WANANCHI

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othmanakiwasilisha mada  tarehe 15 Juni, 2023 katika Mafunzo Elekezi ya Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani Tanzania yanayomalizika leo tarehe 16 Juni, 2023  katika Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto  (IJA). Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman amewataka Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani  Tanzania, kutambua kuwa wananchi wana matumaini makubwa na uteuzi […]

Read More
 NAMIBIA YAIPONGEZA TANZANIA KUWEKEZA KATIKA MATIBABU

NAMIBIA YAIPONGEZA TANZANIA KUWEKEZA KATIKA MATIBABU

Mkurugenzi wa Upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt.Anjela Muhozya akiwaeleza wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Masuala ya Usawa wa Jinsia, Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Familia kutoka Bunge la Namibia aina ya upasuaji wa moyo unaofanyika katika Taasisi hiyo wakati wabunge hao walipotembelea JKCI leo kwaajili ya kuona huduma za […]

Read More
 MHE.SIMBACHAWENE AITAKA TAKUKURU ISIJIFUNGIE OFISINI, IENDE KWA JAMII

MHE.SIMBACHAWENE AITAKA TAKUKURU ISIJIFUNGIE OFISINI, IENDE KWA JAMII

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amewataka Watumishi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka ofisini na kwenda sehemu ambako huduma za kijamii zinatolewa kwa kuwa huko kuna malalamiko mengi ya wananchi kuhusu kutondewa haki katika kupata huduma. Mhe. Simbachawene ametoa kauli hiyo jijini Dodoma wakati […]

Read More
 TANZANIA YAWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA URUSI

TANZANIA YAWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA URUSI

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akisalimiana na Balozi wa Urusi nchini, Mhe. Andrey Avetisyan wakati maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Urusi Juni 14, 2023) Jijini Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa […]

Read More
 MADINI MKAKATI YAJADILIWA MKUTANO WA 9 WA EITI

MADINI MKAKATI YAJADILIWA MKUTANO WA 9 WA EITI

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akizungumza katika mkutano wa Kimataifa wa Asasi ya Uwazi na Uwajibikaji Jijini Dakar, Senega Mkutano wa Kimataifa wa Asasi ya Kimataifa ya Uwazi na Uwajibikaji (EITI – Extractive Industry Transparency Initiative) uliofanyika Jijini Dakar nchini Senegal kuanzia tarehe 13 -14 Juni 2023 umejadili fursa mbalimbali kwenye Sekta ya […]

Read More
 LUKUVI, BULEMBO WATEULIWA KUWA WASHAURI WA RAIS

LUKUVI, BULEMBO WATEULIWA KUWA WASHAURI WA RAIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanvauteuzi Washauri wa Rais wafuatao:-(i) Amemteua Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Mshauri wa Rais(Siasa na Uhusiano wa Jamii). Mhe. Lukuvi ni Mbunge wa Jimbo laIsmani, Iringa;(ii) Amemteua Bw. Abdallah Bulembo kuwa Mshauri wa Rais (Siasa naUhusiano wa Jamii). Bw. Bulembo ni Mbunge Mstaafu;(iii) […]

Read More
 SERIKALI KUJENGA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO JIJINI ARUSHA

SERIKALI KUJENGA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO JIJINI ARUSHA

Viongozi akiwemo Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw.Saidi Yakubu (wa tatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. JohnMongela (wa pili kulia) wakioneshwa ramani ya eneo utakapojengwa uwanja wamichezo Arusha. Mkoa wa Arusha umepewa dhamana kubwa ya kitaifa ya kujengwa kiwanja kipya cha michezo na kufanya Tanzania kuwa na viwanja […]

Read More