DIASPORA TUNZENI HESHIMA YA TANZANIA – MAJALIWA

DIASPORA TUNZENI HESHIMA YA TANZANIA – MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanadiaspora wa Tanzania wazingatie sheria za nchi wanazoishi ili waendelee kutunza heshima ya nchi yao. Ametoa wito huo wakati akizungumza na Watanzania waishio St. Petersburg, Urusi ambako alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika […]

Read More
 WAZAZI NA WALEZI WAHIMIZWA KUTOWAFICHA WATOTO WENYE ULEMAVU

WAZAZI NA WALEZI WAHIMIZWA KUTOWAFICHA WATOTO WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (wa pili kushoto) akishiriki chakula cha pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwanga Viziwi Mkoani Kilimanjaro. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka wazazi na walezi wenye watoto wenye ulemavu kutowaficha watoto wao ndani […]

Read More
 CAF WAKAGUA MIUNDOMBINU ITAKAYOTUMIKA AFCON 2027

CAF WAKAGUA MIUNDOMBINU ITAKAYOTUMIKA AFCON 2027

Timu ya wataalamu kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ipo nchini kukagua miundombinu ya michezo ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya AFCON 2027 endapo nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zitapata ridhaa ya kuandaa mashindano hayo makubwa barani Afrika. Akifungua kikao cha kuwakaribisha wataalam hao, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi […]

Read More
 TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA DIPLOMASIA YA UCHUMI

TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA DIPLOMASIA YA UCHUMI

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri yaKidemokrasia ya Watu wa Algeria zimesisitiza umuhimu wa kukuzadiplomasia ya uchumi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano waTano wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (JPC) kati yaNchi hizo mbili ngazi ya Maafisa Waandamizi unaoendelea jijiniAlgiers, Algeria.Mkutano huo utafuatiwa na Mkutano Ngazi ya Makatibu […]

Read More
 WAZIRI MKUU AHUDHURIA GWARIDE MAALUM LA JESHI LA WANAMAJI LA URUSI

WAZIRI MKUU AHUDHURIA GWARIDE MAALUM LA JESHI LA WANAMAJI LA URUSI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Urusi Vladimir Putin hivi karibuni WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumapili, Julai 30, 2023) alikuwa miongoni mwa Wakuu wa Nchi na Serikali waliohudhuria Maonesho ya Gwaride Maalum la Jeshi la Wanamaji la Urusi yaliyofanyika Senatskaya Marina, St. Petersburg, Urusi. Viongozi hao ni wale walioshiriki Mkutano wa Pili wa Kilele […]

Read More
 WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA URUSI

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA URUSI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na wawekezaji kutoka kampuni nne za Urusi zenye nia ya kuwekeza nchini katika nyanja ya usindikaji mazao, nishati jadidifu na utengenezaji wa vifungashio vya glasi. Kampuni hizo ni SEIES (usindikaji mazao na mitambo yake), Agrovent (kusindika mazao yanayoharibika haraka), Unigreen Energy (Nishati Jadidifu) na TD Glass NN Expo LLC (utengenezaji wa chupa za […]

Read More
 TANI 13 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA  PAMOJA NA WATUMIA 4983

TANI 13 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA PAMOJA NA WATUMIA 4983

Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya hapa Nchini limefanikiwa kukamata tani 13 .717 za dawa za kulevya Pamoja na watuhumiwa 4987 katika maeneo mbalimbali hapa Nchini.Akitoa taarifa hiyo Mkuu wa kitengo cha kuzuia nakupambana na dawa za kulevyaNchini kamishna msaidizi wa Polisi, ACP. Amon Kakwale amesema katika kipindi […]

Read More
 KINANA AWATULIZA WANANCHI UFUMBUZI BEI YA PAMBA, TEMBO KUVAMIA MAKAZI YA WATU

KINANA AWATULIZA WANANCHI UFUMBUZI BEI YA PAMBA, TEMBO KUVAMIA MAKAZI YA WATU

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amewaeleza wananchi wa Itilima jinsi serikali itakavyotatua changamoto ya bei ndogo ya pamba nchini na uvamizi wa tembo katika makazi ya wananchi. Kinana ametoa kauli hiyo jana Julai 28, 2023  katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Laini A wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu […]

Read More