SERIKALI YATOA ONYO KALI KWA VIONGOZI WASIOCHUKUA HATUA KWA WAKULIMA WA MIRUNGI KWENYE HALMASHAURI

SERIKALI YATOA ONYO KALI KWA VIONGOZI WASIOCHUKUA HATUA KWA WAKULIMA WA MIRUNGI KWENYE HALMASHAURI

Kamishna Jenerali Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Aretas Lyimoametoa onyo kali kwa viongozi wa ngazi ya halmashauri  watakaobanika kutochukua hatua stahiki kuhusiana na kilimo cha mirungi, na kusema kuwa watachukuliwa hatua za kisheria bila kujali nafasi zao.Kamishna Jenerali Lyimo amesema hayo jana katika operesheni ya uteketezaji wa mashamba ya mirungi katika Kata […]

Read More
 SERIKALI YAHIMIZA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA MAENDELEO

SERIKALI YAHIMIZA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA MAENDELEO

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Omolo, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Watakwimu wa Tanzania Bara na Zanzibar yaliyoandaliwa na Chama Cha Watakwimu Tanzania (TASTA), yanayofanyika jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi Jenifa Omolo, amewaasa Watakwimu nchini kuchambua, kutafsiri na kutumia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika kupanga, kufuatilia na […]

Read More
 KIKWETE AFURAHISHWA NA UBUNIFU WA WALENGWA WA TASAF NA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA KWA KILIMO CHA KISASA

KIKWETE AFURAHISHWA NA UBUNIFU WA WALENGWA WA TASAF NA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA KWA KILIMO CHA KISASA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitazama miti ya mbogamboga katika shamba darasa la kilimo cha kisasa kinachotekelezwa na kikundi cha walengwa wa TASAF katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya […]

Read More
 WITO WATOLEWA KWA WANANCHI KUTUMIA NISHATI YA UMEME, KUBUNI MIRADI YA KUJIONGEZEA KIPATO

WITO WATOLEWA KWA WANANCHI KUTUMIA NISHATI YA UMEME, KUBUNI MIRADI YA KUJIONGEZEA KIPATO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama na (Mb) Peramiho akizindua Mradi wa Umeme Vijijini katika Kijiji cha Litowa kata ya Parangu Halmashauri ya Wilaya ya Songea Wananchi wameaswa kutumia nishati ya umeme kubuni shughuli za maendeleo, zitakazochangia ukuaji wa kipato, kwa kutumia fursa zilizopo serikalini za upatikanaji […]

Read More
 RAIS SAMIA AWATAKA VIONGOZI BARANI AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA

RAIS SAMIA AWATAKA VIONGOZI BARANI AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna wa Polisi (CP) Salum Hamduni kuhusianana kazi mbalimbali ambazo Taasisi hiyo inafanya kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani Afrika yaliyofanyika katika ukumbi wa Nyasa uliopo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC […]

Read More
 TANZANIA KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU 2030 UMOJA WA MATAIFA

TANZANIA KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU 2030 UMOJA WA MATAIFA

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Mheshimiwa Balozi Hussein Kattanga, akizungumza na Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki  Mkutano wa Jukwaa la Juu la Siasa la Umoja wa Mataifa ambapo Tanzania inatarajia kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari ya Nchi ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030 (SDGs), Jijini New York, Marekani. Kushoto […]

Read More