SERIKALI YATOA SH. BILIONI 208 KUJENGA SEKONDARI MPYA NCHINI

SERIKALI YATOA SH. BILIONI 208 KUJENGA SEKONDARI MPYA NCHINI

Serikali imetoa zaidi ya sh. bilioni 208  ili zitumike kujenga  shule mpya za sekondari kwenye Halmashauri zote hapa nchini ikiwa ni maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwakani. Hayo yamesemwa leo (Jumamosi, Julai 8, 2023) na Naibu Waziri (OR-TAMISEMI), Deogratius Ndejembi alipopewa nafasi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa awasalimie wananchi na watumishi wa Halmashauri […]

Read More
 RAIS SAMIA ATAKA VIKWAZO MPAKANI VIONDOLEWE

RAIS SAMIA ATAKA VIKWAZO MPAKANI VIONDOLEWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kabla ya kuhitimisha zaiara yake nchini humo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesisitizakuondolewa kwa vikwazo vya kibiashara hususan mpakani mwa Tanzania naMalawi ili wananchi waweze kunufaika […]

Read More
 WAZIRI MKUU MAJALIWA: UWEKEZAJI UNA FAIDA, WANUNUZI WA MIKOA YA KUSINI WACHUKUE MAFUTA KUTOKA MTWARA

WAZIRI MKUU MAJALIWA: UWEKEZAJI UNA FAIDA, WANUNUZI WA MIKOA YA KUSINI WACHUKUE MAFUTA KUTOKA MTWARA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uwekezaji una faida na kwamba suala hilo siyo kitu kipya. “Uwekezaji una faida, hata hapa mbele yetu (jirani na eneo la mkutano) kuna eneo la bandari limekodishwa na mtu ameweka uzio. Hawa watu wanakodisha maeneo na wanayalipia,” amesema. Ametoa kauli hiyo leo jioni (Ijumaa, Julai 07, 2023) wakati akizungumza na mamia […]

Read More
 WAZIRI MKUU AKAGUA GATI MPYA BANDARI YA MTWARA

WAZIRI MKUU AKAGUA GATI MPYA BANDARI YA MTWARA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Bandari ya Mtwara ambapo pia amekagua gati mpya yenye urefu wa mita miatatu ikiwa na uwezo wa kuhudumia meli yenye uzito wa hadi tano elfu sitini na tanoUjenzi wa gati hiyo umeiwezesha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza uwezo wa kuhudumia shehena katika bandari ya Mtwara kutoka tani laki nne […]

Read More