RAIS SAMIA NA RAIS WA MALAWI DKT. LAZARUS CHAKWERA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (Mou) KATI YA TANZANIA NA MALAWI KUSHIRIKIANA KWENYE TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakishuhudia utiajiSaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na Malawi kuhusiana na mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) mara baada ya mazungumzo yao Lilongwe nchini Malawi tarehe 7 […]

Read More
 NAIBU WAZIRI KATAMBI ASISITIZA WAAJIRI WOTE KUJISAJILI NA KUWASILISHA MICHANGO NA TOZO  KWENYE MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

NAIBU WAZIRI KATAMBI ASISITIZA WAAJIRI WOTE KUJISAJILI NA KUWASILISHA MICHANGO NA TOZO KWENYE MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amewataka waajiri kote nchini kuhakikisha wanalipa Michango na tozo mbalimbali kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya WCF, PSSSF na NSSF. Mhe. Katambi ameyasema hayo Julai 6, 2023 baada ya kutembelea mabanda ya Mifuko hiyo mitatu ambayo iko chini ya […]

Read More
 SHILINGI BILIONI  25  ZATENGWA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

SHILINGI BILIONI  25  ZATENGWA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza katika Uwanja wa Sabasaba mkoani Njombe wakati alipofanya ziara katika Mkoa huo ili kukagua  shughuli  mbalimbali zinazofanywa na   watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI. Serikali kupitia tume ya kudhibiti ukimwi TACAIDS imeongeza bajeti ya mapambano dhidi ya UKIMWI kutoka shilingi bilioni 14 […]

Read More
 SERIKALI INATAKA WANANCHI WAPATE HUDUMA HUKO WALIKO-MAJALIWA

SERIKALI INATAKA WANANCHI WAPATE HUDUMA HUKO WALIKO-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inataka kuona wananchi wakipatiwa huduma za afya huko waliko bila kulazimika kuzifuata mbali. “Tumejenga vituo vya afya, hospitali za wilaya na sasa tunajenga hospitali kwenye kila Halmashauri ili kusogeza huduma zaidi kwa wananchi. Nia ya Serikali ya awamu ya sita ni kuona wananchi wetu wanapata […]

Read More