RAIS SAMIA ATEMBELEA BUNGE LA MALAWI, AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE KABURI LA RAIS WA KWANZA WA NCHI HIYO HAYATI KAMUZU BANDA

RAIS SAMIA ATEMBELEA BUNGE LA MALAWI, AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE KABURI LA RAIS WA KWANZA WA NCHI HIYO HAYATI KAMUZU BANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Malawi na Baba wa Taifa hilo Hayati Dkt. Kamuzu Banda lililopo katika Makumbusho ya Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana […]

Read More
 WAZIRI MKUU AKABIDHI TUZO KWA JKCI KWA KUIBUKA MSHINDI WA KWANZA WA JUMLA MAONESHO YA SABASABA

WAZIRI MKUU AKABIDHI TUZO KWA JKCI KWA KUIBUKA MSHINDI WA KWANZA WA JUMLA MAONESHO YA SABASABA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. MajaliwaKassim Majaliwa akimkabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza wa jumla katikamaonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA)Mkurugenzi wa Upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. AngelaMuhozya wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo. Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete imeibuka mshindi […]

Read More
 KUTOKA DSM, TENGERU WAHITIMISHA MAFUNZO NA KUTOA MBINU DPA

KUTOKA DSM, TENGERU WAHITIMISHA MAFUNZO NA KUTOA MBINU DPA

Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imehitimisha mafunzo ya siku tatu katikachuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA) ambapo kimetoa elimu ya ukatili nasheria zinazosimamia vitendo vya ukatili.Akiongea mara baada ya mafunzo hayo mratibu wa dawati la jinsia Taasisi yamaendeleo ya jamii Tengeru Prisca Kadege ametoa ushauri kuwa madawati hayo yawenyenzo ya […]

Read More
 BALOZI KAYOLA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MALAWI

BALOZI KAYOLA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MALAWI

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Mheshimiwa Lazarus Chakwera, Julai 4, 2023 Ikulu, Jijini Lilongwe Malawi. Balozi Kayola aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi akichukua nafasi ya Humphrey Polepole […]

Read More
 MBUNGE WA IGUNGA ZIARANI KUTATUA KERO ZA WANANCHI

MBUNGE WA IGUNGA ZIARANI KUTATUA KERO ZA WANANCHI

Igunga, Tabora Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, anaanza ziara ya Kikazi Jimboni kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Bunge la Bajeti kwa Wananchi, Kutatua kero za Wananchi na kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mheshimiwa Ngassa (MB) anaanza ziara ikiwa ni utaratibu wake wa kutoa mrejesho kwa Wananchi mara baada ya […]

Read More