DKT. SAMIA AWATAKA WANA MBARALI WAENZI MAZURI YA MBUNGE WAO

DKT. SAMIA AWATAKA WANA MBARALI WAENZI MAZURI YA MBUNGE WAO

RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wana-Mbarali wamuombee na kuenzi mazuri yote aliyofanya enzi za uhai wake aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. Francis Mtega. Hayo yamesemwa leo (Jumanne, Julai 4, 2023) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipoongoza waombolezaji kuaga mwili wa Mheshimiwa Mtega katika uwanja wa mpira wa Chimala, Wilaya ya Mbarali, mkoani […]

Read More
 TAIFA LINAWATEGEMEA WALIMU KUWAJENGEA WATOTO MSINGI BORA WA MALEZI NA MAADILI

TAIFA LINAWATEGEMEA WALIMU KUWAJENGEA WATOTO MSINGI BORA WA MALEZI NA MAADILI

Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali zaMitaa Dkt. Charles Msonde amesema taifa linawategemea walimu waelimu ya awali na msingi kuwajengea msingi bora wa malezi watoto iliwawe na maadili mema yatakayowawezesha kutoa mchango katikamaendeleo ya taifa.Dkt. Msonde amesema hayo wakati akifungunga mafunzo ya walimu waelimu ya awali 202, Maafisa Elimu […]

Read More
 CHUO CHA TENGERU CHAJA NA MBINU KUKABILIANA NA UKATILLI

CHUO CHA TENGERU CHAJA NA MBINU KUKABILIANA NA UKATILLI

Taasisi za elimu ya juu ndani na nje ya nchi, zimeendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini katika kukabiliana na uhalifu ambapo, Taasisi ya maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imekuwa na taratibu za kushirikiana na taasisi mbalimbali hapa Nchini kutoa mafunzo na mchango wa moja kwa moja kwa Taasisi za umma na binafsi. Kauli hiyo […]

Read More
 NCHI ZAIDI YA 20 ZASHIRIKI TAMASHA LA ZIFF MJINI ZANZIBAR

NCHI ZAIDI YA 20 ZASHIRIKI TAMASHA LA ZIFF MJINI ZANZIBAR

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu akikabidhituzo ya filamu kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo wa Tanzania wakati wa kufunga Tamasha la 26 la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF) Julai 02, 2023 mjini Zanzibar. Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF) limehitimishwa ambapo nchi zaidi ya20 zimeshiriki […]

Read More