NEC YATEUA 77 KUTOKA VYAMA 17 KUGOMBEA UDIWANI KATA 14

NEC YATEUA 77 KUTOKA VYAMA 17 KUGOMBEA UDIWANI KATA 14

WAGOMBEA 77 kutoka vyama 14 vyenye usajili wa kudumu wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwania nafasi wazi za udiwani katika Kata 14 za Tanzania Bara ambazo zinataraji kufanya uchaguzi mdogo  Julai 13,2023. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza tarehe 13 Julai, 2023 kuwa siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 14 za […]

Read More
 DKT. MSONDE AWATAKA WALIMU KUWAPATIA WATOTO MALEZI BORA NA UJUZI

DKT. MSONDE AWATAKA WALIMU KUWAPATIA WATOTO MALEZI BORA NA UJUZI

Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dkt. Charles Msonde akitoa maelekezo mara baada ya kukagua ujenzi wa miundombinu ya elimu katika shule ya sekondari Mwanzi iliyopo wilayani manyoni. Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali zaMitaa Dkt. Charles Msonde amewataka walimu wa elimu ya awalikuhakikisha wanawapatia watoto malezi bora […]

Read More
 WIZARA YA MALIASILI YAJA KIDIGITALI

WIZARA YA MALIASILI YAJA KIDIGITALI

Mkurugenzi wa Utalii, Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Thereza Mugobi(mwenye koti la kijani) akitembelea mabanda yenye wanyamapori kwenyeMaonesho ya SABA SABA jijini Dar es Salaam. Wizara ya Malisili na Utalii imeamua kwenda na kasi ya mabadiliko yasayansi na Teknolojia kwa kuanza kutangaza Utalii kidigitali katika Maoneshoya 47 Kibiashara ya Kimataifa Dar es Salaam, maarufu […]

Read More