UJENZI WA DARAJA LA JUU JANGWANI KUANZA HIVI KARIBUNI

UJENZI WA DARAJA LA JUU JANGWANI KUANZA HIVI KARIBUNI

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (wa pili kushoto), akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila (wa kwanza kulia), na Naibu Spika na Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Azzan Zungu (wa pili kulia), kutembelea eneo la Jangwani ambapo Mradi mkubwa wa uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi, […]

Read More
 WAZIRI MKUU AALIKA WAWEKEZAJI VIWANDA VYA MBOLEA

WAZIRI MKUU AALIKA WAWEKEZAJI VIWANDA VYA MBOLEA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobobea kwenye sekta ya mbolea ili waje kufungua viwanda vya mbolea nchini. Ametoa mwaliko huo leo (Alhamisi, Julai 27, 2023) wakati akizungumza kwenye mjadala uliohusu Uimarishaji wa Soko la Mbolea kama njia ya kuondoa njaa barani Afrika uliofanyika kwenye kituo cha mikutano na maonesho cha Expo Forum, jijini St. […]

Read More
 IFIKAPO 2030 AFRIKA KUWA NA ASILIMIA 42 YA VIJANA WOTE DUNIANI

IFIKAPO 2030 AFRIKA KUWA NA ASILIMIA 42 YA VIJANA WOTE DUNIANI

Inaelezwa kuwa vijana ndio wenye wajibu wa kujenga jamii na taifa. Vijana wanawajibika kuhakikisha kuwa jamii na taifa kwa ujumla linapata maendeleo kutokana na uwezo wao katika kutenda kazi, kufikiri, umaridadi katika utendaji lakini pia kutumia usomi wao kwa njia ya kisasa ambapo humfanya kijana kuwa tofauti. Akihutubia jana jijini Dar es salaam katika kilele […]

Read More
 KINANA: RAIS SAMIA HAWEZI KUUZA BANDARI

KINANA: RAIS SAMIA HAWEZI KUUZA BANDARI

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdurhaman Kinana, amezungumzia mjadala wa uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam huku akiweka wazi kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na Serikali anayoingoza haiwezi kuuza bandari hiyo na kuhoji Rais auze bandari kwa maslahi yapi. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Mkendo Musoma […]

Read More
 WAZIRI JAFO ARIDHISHWA UZINGATIAJI SHERIA YA MAZINGIRA BANDARI YA MTWARA

WAZIRI JAFO ARIDHISHWA UZINGATIAJI SHERIA YA MAZINGIRA BANDARI YA MTWARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt.Selemani Jafo ameonesha kuridhishwa na uzingatiaji wa Kanuni na Sheria yaMazingira katika Bandari ya Mtwara.Hayo yamejiri wakati wa ziara ya kikazi ya Dkt. Jafo ya kukagua shughuli zauhifadhi wa mazingira eneo la utunzaji na usafirishaji wa makaa ya mawezinazofanyika katika bandari hiyo.Ameupongeza uongozi […]

Read More
 HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU JNICC DAR ES SALAAM

HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU JNICC DAR ES SALAAM

➢ Waheshimiwa Wakuu wa Nchi na Wawakilishi waWakuu wa Nchi; ➢ Waheshimiwa Makamu wa Marais mliopo; ➢ Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi;➢ Waheshimiwa Mawaziri Wakuu mliopo; ➢ Mheshimiwa Mussa Faki, Mwenyekiti wa Kamisheniya Umoja wa Afrika; ➢ Wakuu wa Misafara; ➢ Waheshimiwa Mawaziri; ➢ Makamu wa Rais […]

Read More