RAIS SAMIA AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI VIONGOZI WAKUU WA NCHI MBALIMBALI NA WASHIRIKI WA MKUTANO WA RASILIMALI WATU IKULU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI VIONGOZI WAKUU WA NCHI MBALIMBALI NA WASHIRIKI WA MKUTANO WA RASILIMALI WATU IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na wageni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi, Rais wa São Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova, pamoja na Rais wa Madagascar Mhe. Andry Nirina Rajoelina kwenye hafla yaChakula cha jioni alichowaandalia viongozi wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika […]

Read More
 DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA MAENDELEO YA RASILIMALI WATU

DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA MAENDELEO YA RASILIMALI WATU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akifungua mkutano ngazi ya Mawaziri, kuelekea Mkutano wa Wakuu wa nchi 54 za Afrika kuhusu masuala ya Maendeleo ya Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Development Summit), utakaofanyika julai 26, 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius […]

Read More
 DKT. MPANGO: SERIKALI ITAHAKIKISHA INAONDOA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA

DKT. MPANGO: SERIKALI ITAHAKIKISHA INAONDOA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. PhilipMpango amesema serikali itahakikisha inaondoa changamoto za wakulimakatika msimu mpya wa kilimo ikiwemo kusogeza huduma za mbolea ya ruzukukatika maeneo ya Jirani zaidi na wakulima.Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Wilayaya Mbinga akiwa ziarani mkoani Ruvuma. Amesema mkoa huo ni […]

Read More
 KATIBU MKUU YAKUBU AHIMIZA VYAMA NA MASHIRIKISHO YA MICHEZO KUJIUNGA NA VYAMA VYA MICHEZO HUSIKA AFRIKA NA DUNIA

KATIBU MKUU YAKUBU AHIMIZA VYAMA NA MASHIRIKISHO YA MICHEZO KUJIUNGA NA VYAMA VYA MICHEZO HUSIKA AFRIKA NA DUNIA

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na uongozi Kituo cha Sanaa na Utamaduni kwa ViziwiTanzania (KISUVITA) mara baada ya kikao kilichofanyika Julai 24, 2023 jijini Dar essalaam. Bw. Habibu Mrope Mkuu wa Kituo cha Utamaduni na Sanaa Tanzania kwaViziwi Tanzania (KISUVITA). Wa tatu kulias ni […]

Read More
 WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA URUSI

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA URUSI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatatu, Julai 24, 2023) kwenda Urusi ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi. Mkutano huo unaotarajiwa kuanza Julai 27 – 30, 2023, utafanyika jijini St. Petersburg, Urusi, na umelenga […]

Read More
 ZAMBIA YAVUTIWA NA MFUMO WA MASOKO YA MADINI NCHINI TANZANIA

ZAMBIA YAVUTIWA NA MFUMO WA MASOKO YA MADINI NCHINI TANZANIA

Kamishna wa Madini Dkt. AbdulRahman Mwanga alipokutana na ujumbe kutoka Wizara ya Madini na Maendeleo ya Migodi ya Jamhuri ya Zambia katika ziara inayolenga kujifunza mifumo ya usimamizi wa Sekta ya Madini hususan kwenye shughuli za uchimbaji wa madini zinazofanywa na wachimbaji wadogo jijini Dodoma Sekta ya Madini nchini Tanzania imekuwa mfano wa kuigwa kwa […]

Read More