WANANCHI MBINGA KUNUFAIKA NA JITIHADA ZA SERIKALI KUJENGA NA KUKARABATI BARABARA – NDEJEMBI

WANANCHI MBINGA KUNUFAIKA NA JITIHADA ZA SERIKALI KUJENGA NA KUKARABATI BARABARA – NDEJEMBI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wananchi wa Mbamba-Bay mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza na wananchi wa eneo hilo. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Deogratius Ndejembi amesema wananchi […]

Read More
 KINANA RAIS DK. SAMIA MSIKIVU, NCHI IMETULIA

KINANA RAIS DK. SAMIA MSIKIVU, NCHI IMETULIA

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya mambo makubwa ndani ya kipindi cha miaka miwili kutokana na uongozi wake mzuri unatokana utulivu, usikivu, kupokea ushauri na kufanya uamuzi wa busara kwa manufaa ya Watanzania.Kinana ameyasema hayo jana wilayani Kondoa mkoani Dodoma katika mkutano wa […]

Read More
 KIKWETE : TAALUMA YA UUGUZI  NI YA KUJITOA NA YENYE UTHUBUTU

KIKWETE : TAALUMA YA UUGUZI  NI YA KUJITOA NA YENYE UTHUBUTU

Naibu Waziri,  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa ameshika mshumaa unawakaa na baadhi ya Wauguzi  katika  shamrashamara ya kuadhimisha  Siku ya Wauguzi Duniani iliyofanyika kimkoa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani […]

Read More
 DKT MABULA ATAHADHARISHA WANAOSUBIRI FIDIA NGARA

DKT MABULA ATAHADHARISHA WANAOSUBIRI FIDIA NGARA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na wananchi wa Bugarama wilayani Ngara mkoa wa Kagera wakati wa ziara ya siku moja mkoani humo tarehe 23 Julai 2023. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ngara Kanali Mathias Kahabi. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewatahadharisha […]

Read More
 TUTAENDELEA KUIMARISHA AFYA YA MAMA NA  MTOTO-MAJALIWA

TUTAENDELEA KUIMARISHA AFYA YA MAMA NA  MTOTO-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutekeleza mipango mbalimbali ya kuhakikisha kunakuwa na ustawi wa afya ya mama na mtoto ikiwemo mpango wa Mama Samia Mentorship Program. Amesema kuwa mpango huo ni mahsusi kwa mafunzo ya muda mfupi kazini kwa madaktari bingwa na wakunga ili waweze kuimarisha utoaji huduma kwenye Vituo vya Afya na […]

Read More
 UCHUNGUZI UFANYIKE KUZUKA KWA MOTO BONDE LA MZAKWE

UCHUNGUZI UFANYIKE KUZUKA KWA MOTO BONDE LA MZAKWE

Pichani ni sehemu ya eneo lililoathirika na moto katika bonde la Mzakwe, chanzocha moto huo bado hakijajulikana. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameviagiza vyombovya ulinzi na usalama Mkoani Dodoma kuhakikisha vinawasaka na kuwabainiwote waliohusika na uchomaji moto katika bonde la mzakwe hii.Senyamule ametoa agizo hilo Julai 21, 2023 mara baada ya kufika […]

Read More
 DKT. MWIGULU ASEMA MKUTANO WA AFRIKA HUMAN CAPITAL UMEKUJA WAKATI MUAFAKA

DKT. MWIGULU ASEMA MKUTANO WA AFRIKA HUMAN CAPITAL UMEKUJA WAKATI MUAFAKA

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo ametembelea katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam utakapofanyika mkutano mkubwa, Africa Human Capital, utakaowakutanisha wakuu wa nchi za Afrika kuanzia Julai 25-26, 2023 kuangalia maandalizi na kusema kuwa umekuja wakati muafaka. Akizungumza baada ya kutembelea katika ukumbi huo, Dkt. Mwigulu kwanza […]

Read More
 SERIKALI KUTOA MILIONI 500 KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA PERAMIHO – NDEJEMBI

SERIKALI KUTOA MILIONI 500 KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA PERAMIHO – NDEJEMBI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wananchi wa Peramiho (hawapo pichani), mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza na wanachi wa eneo hilo. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembiamesema, Mhe. Angellah Kairuki ameahidi kuwa Serikali […]

Read More